Ufafanuzi wa pumzi katika Kiswahili

pumzi

nomino

  • 1

    hewa inayoingia na kutoka mapafuni.

Matamshi

pumzi

/pumzi/