Ufafanuzi msingi wa puna katika Kiswahili

: puna1puna2puna3

puna1

kitenzi elekezi

 • 1

  pangusa jasho.

Matamshi

puna

/puna/

Ufafanuzi msingi wa puna katika Kiswahili

: puna1puna2puna3

puna2

kitenzi elekezi

 • 1

  paaza ili kutoa maganda vizuri.

  ‘Puna mti’

Matamshi

puna

/puna/

Ufafanuzi msingi wa puna katika Kiswahili

: puna1puna2puna3

puna3

kitenzi elekezi

 • 1

  laza vizuri.

  ‘Puna nywele’

Matamshi

puna

/puna/