Ufafanuzi msingi wa punda katika Kiswahili

: punda1punda2

punda1

nominoPlural punda

  • 1

    mnyama jamii ya farasi mwenye miguu mifupi; mnyama anayefanana na farasi au nyumbu ila ni mdogo zaidi na hutumiwa zaidi kwa kukokota magari au kubeba mizigo.

    ‘Punda kihongwe’

Matamshi

punda

/punda/

Ufafanuzi msingi wa punda katika Kiswahili

: punda1punda2

punda2

nominoPlural punda

  • 1

    mkufu unaovaliwa mguuni kuonyesha utawalishwaji wa cheo cha uakida katika ngoma za Kimrima.

Matamshi

punda

/punda/