Ufafanuzi wa punda Maskati katika Kiswahili

punda Maskati

  • 1

    punda mweupe, mkubwa kuliko punda wa kawaida mwenye asili ya Maskati anayepatikana hasa Zanzibar.