Ufafanuzi wa pundamilia katika Kiswahili

pundamilia

nominoPlural pundamilia

  • 1

    mnyama wa porini jamii ya farasi, anayefanana na punda lakini mwenye miraba/mistari/milia myeusi na myeupe mwili mzima.

Matamshi

pundamilia

/pundamilija/