Ufafanuzi msingi wa pungu katika Kiswahili

: pungu1pungu2pungu3

pungu1

nominoPlural mapungu, Plural pungu

 • 1

  kipande cha mti au kibao chepesi kinachoelea juu ya maji, agh. hufungwa vingi kwenye wavu wa kuvulia samaki au dema.

  mpato

Matamshi

pungu

/pungu/

Ufafanuzi msingi wa pungu katika Kiswahili

: pungu1pungu2pungu3

pungu2

nominoPlural mapungu, Plural pungu

 • 1

  samaki mwenye umbo bapa, mkia mwembamba na mrefu na rangi ya kahawia iliyochanganyikana na mabatobato meupe, ya manjano na buluu.

Matamshi

pungu

/pungu/

Ufafanuzi msingi wa pungu katika Kiswahili

: pungu1pungu2pungu3

pungu3

nominoPlural mapungu, Plural pungu

 • 1

  aina mojawapo ya ndege.

Matamshi

pungu

/pungu/