Ufafanuzi wa pungufu katika Kiswahili

pungufu

kivumishi

  • 1

    -siyofikia kiwango kilichotarajiwa au cha kawaida; -siyokamilika.

    -chache, chinjo

Matamshi

pungufu

/pungufu/