Ufafanuzi wa pungukiwa katika Kiswahili

pungukiwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na upungufu wa kitu fulani k.v. chakula au fedha.

    ‘Wakulima wengi mwaka huu wamepungukiwa mbegu za mahindi’
    limki

Matamshi

pungukiwa

/pungukiwa/