Ufafanuzi msingi wa pura katika Kiswahili

: pura1pura2

pura1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  ondoa majani katika mmea kwa kuvuta kwa mkono.

  kafua, pupua

 • 2

  rusha kitu kwa nguvu ili kukipiga kilicho juu kipate kuanguka.

  ‘Watoto wanapura maembe kwa mawe’
  popoa

Matamshi

pura

/pura/

Ufafanuzi msingi wa pura katika Kiswahili

: pura1pura2

pura2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  sugua k.v. mtu afanyavyo anapofua nguo kwa kuizingirisha juu ya nyingine kwa mkono.

Matamshi

pura

/pura/