Ufafanuzi wa puta katika Kiswahili

puta

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    piga nafaka k.v. mtama na mpunga ili kuutoa kwenye mashuke yake.

  • 2

    piga kwa nguvu k.v. mpira unapodundwa kwa nguvu kwa kutumia mguu.

Matamshi

puta

/puta/