Ufafanuzi wa pwagu katika Kiswahili

pwagu

nominoPlural mapwagu

  • 1

    mtu anayejulikana kuwa anatumia hila na nguvu katika kudanganya wenziwe ili apate mahitaji yake.

    bazazi

Matamshi

pwagu

/pwagu/