Ufafanuzi msingi wa pwaji katika Kiswahili

: pwaji1pwaji2

pwaji1

nominoPlural pwaji

  • 1

    sehemu ya ufuko ambayo hukauka wakati wa maji kupwa.

    bwachi

Matamshi

pwaji

/pwaʄi/

Ufafanuzi msingi wa pwaji katika Kiswahili

: pwaji1pwaji2

pwaji2

nominoPlural pwaji

  • 1

    maneno mengi yasiyo na maana.

    porojo

Matamshi

pwaji

/pwaʄi/