Ufafanuzi wa pwaju katika Kiswahili

pwaju

nominoPlural pwaju

  • 1

    aina ya ndege jamii ya nyomvi.

Matamshi

pwaju

/pwaʄu/