Ufafanuzi wa pwaza katika Kiswahili

pwaza

kitenzi elekezi

  • 1

    chemsha kitu k.v. muhogo baada ya kuukata vipandevipande.

    ‘Muhogo wa kupwaza’

Matamshi

pwaza

/pwaza/