Ufafanuzi wa pwelea katika Kiswahili

pwelea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

  • 1

    kauka kwa sauti na kutoweza kutoka kama kawaida.

    ‘Amelia mpaka sauti imempwelea’

Matamshi

pwelea

/pwɛlɛja/