Ufafanuzi wa pweta katika Kiswahili

pweta

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    ingiwa na haya k.v. baada ya kufanya kitendo cha aibu.

    tahayari

Matamshi

pweta

/pwɛta/