Ufafanuzi wa pwezua katika Kiswahili

pwezua

kitenzi elekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    rudisha chombo kutoka ufukoni.

    shua

Matamshi

pwezua

/pwɛzuwa/