Ufafanuzi wa pyora katika Kiswahili

pyora

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    sema maneno machafu; sema matusi.

Matamshi

pyora

/pjɔra/