Ufafanuzi wa raba katika Kiswahili

raba

nominoPlural raba

  • 1

    viatu vilivyotengenezwa kwa kitambaa na vyenye soli ya mpira.

  • 2

    kipande kigumu cha mpira kinachotumiwa kufutia maandishi.

    kifuto, kifutio

Asili

Kng

Matamshi

raba

/raba/