Ufafanuzi wa Rabi katika Kiswahili

Rabi, Rabana

nominoPlural Rabi

 • 1

  Kidini
  jina litumikalo kumtaja Mwenyezi Mungu.

 • 2

  Mungu Mlezi.

  Ilahi

 • 3

Asili

Kar

Matamshi

Rabi

/rabi/