Ufafanuzi msingi wa rada katika Kiswahili

: rada1rada2

rada1

nominoPlural rada

  • 1

    balaa inayoaminiwa inatoka kwa Mwenyezi Mungu baada ya mtu kutenda maovu k.v. kudhulumu au kuonea.

    ikabu, adhabu, marudi

Asili

Kar

Matamshi

rada

/rada/

Ufafanuzi msingi wa rada katika Kiswahili

: rada1rada2

rada2

nominoPlural rada

  • 1

    kifaa cha kuongozea au kuonyesha chombo kilipo k.v. meli au ndege au kutoa na kupokea ishara za maelezo kutoka kwa marubani.

Asili

Kng

Matamshi

rada

/rada/