Ufafanuzi wa radi katika Kiswahili

radi

nomino

  • 1

    sauti kubwa inayotoka mawinguni inayoambatana na mwanga mkubwa wakati wa mvua.

Asili

Kar

Matamshi

radi

/radi/