Ufafanuzi msingi wa radidi katika Kiswahili

: radidi1radidi2

radidi1

kivumishi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    -enye kurudiwarudiwa.

Asili

Kar

Matamshi

radidi

/radidi/

Ufafanuzi msingi wa radidi katika Kiswahili

: radidi1radidi2

radidi2

kitenzi sielekezi

  • 1

    rudia kitendo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

radidi

/radidi/