Ufafanuzi wa rafadha katika Kiswahili

rafadha

nominoPlural rafadha

  • 1

    panka inayofungwa katika chombo k.v. meli, ndege au motaboti na hutumiwa kuendeshea chombo hicho.

    propela

Asili

Kar

Matamshi

rafadha

/rafaða/