Ufafanuzi wa rafiki katika Kiswahili

rafiki

nominoPlural marafiki

  • 1

    mtu anayependana na kuaminiana na mwingine.

    sahibu, mwandani, bui, mwenzi, msiri, somo, mbasi

Asili

Kar

Matamshi

rafiki

/rafiki/