Ufafanuzi msingi wa rahani katika Kiswahili

: rahani1rahani2

rahani1

nominoPlural rahani

  • 1

    kitu cha thamani kinachotolewa kuwa ni dhamana ya kukopea fedha na ambacho hukombolewa baada ya kulipa.

    poni

Asili

Kar

Matamshi

rahani

/rahani/

Ufafanuzi msingi wa rahani katika Kiswahili

: rahani1rahani2

rahani2

nominoPlural rahani

  • 1

    chumba maalumu kilicho katika nyumba au chombo cha bahari k.v. jahazi, meli, n.k. kinachotumiwa kuwekea vitu k.v. vyombo.

Matamshi

rahani

/rahani/