Ufafanuzi msingi wa rai katika Kiswahili

: rai1rai2rai3rai4

rai1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika

 • 1

  sema na mtu kwa maneno mazuri kwa madhumuni ya kumtaka akubali kutimiza linalotarajiwa.

  bembeleza, sairi, sihi

Asili

Kar

Matamshi

rai

/raji/

Ufafanuzi msingi wa rai katika Kiswahili

: rai1rai2rai3rai4

rai2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika

 • 1

  tia mtu chakula mdomoni; lisha.

Asili

Kar

Matamshi

rai

/raji/

Ufafanuzi msingi wa rai katika Kiswahili

: rai1rai2rai3rai4

rai3

nominoPlural rai

 • 1

  maoni ya mtu juu ya jambo fulani.

  ‘Rai aliyoitoa mwenzetu ni nzuri sana’
  shauri

Asili

Kar

Matamshi

rai

/raji/

Ufafanuzi msingi wa rai katika Kiswahili

: rai1rai2rai3rai4

rai4

nominoPlural rai

 • 1

  hali ya mwili kuwa na afya nzuri.

  ‘Ingawa homa imeshanitoka, bado sina rai’
  siha, nguvu

Asili

Kar

Matamshi

rai

/raji/