Ufafanuzi wa rajimi katika Kiswahili

rajimi

kivumishi

  • 1

    -enye kupigwa mawe, agh. hutumika wakati wa kumlaani shetani.

    ‘Shetani rajimi’

Asili

Kar

Matamshi

rajimi

/raʄimi/