Ufafanuzi wa raketi katika Kiswahili

raketi

nominoPlural raketi

  • 1

    kifaa chenye ukingo wa ubao ulio duara na mshikio, na kilichowambwa kwa nyuzi, ambacho hutumiwa katika mchezo k.v. tenisi.

Asili

Kng

Matamshi

raketi

/rakɛti/