Ufafanuzi wa rakibu katika Kiswahili

rakibu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

kishairi
  • 1

    kishairi panda k.v. gari, punda au farasi.

Asili

Kar

Matamshi

rakibu

/rakibu/