Ufafanuzi wa Ramadhani katika Kiswahili

Ramadhani

nominoPlural Ramadhani

Kidini
  • 1

    Kidini
    mwezi wa tisa wa mwaka katika kalenda ya Uislamu ambapo Waislamu hufunga kwa siku zisizozidi 30.

Asili

Kar

Matamshi

Ramadhani

/ramaðani/