Ufafanuzi wa ramani katika Kiswahili

ramani

nomino

  • 1

    taswira ya nchi au sehemu ya nchi inayoonyeshwa kwenye karatasi kwa vipimo maalumu na huwakilisha k.v. mito, milima, bahari au miji.

  • 2

    taswira ya jengo kwenye karatasi inayoonyesha sehemu mbalimbali za nyumba k.v. vyumba vya kulala, jiko, choo au sebule.

Asili

Kar

Matamshi

ramani

/ramani/