Ufafanuzi wa rambaza katika Kiswahili

rambaza

kitenzi elekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    vua samaki kwa mishipi na hali umo ndani ya chombo kinachokwenda.

Matamshi

rambaza

/rambaza/