Ufafanuzi wa rambita katika Kiswahili

rambita

kitenzi elekezi

  • 1

    tamani kula kitu kutokana na kusikia harufu yake au kukiona.

Matamshi

rambita

/rambita/