Ufafanuzi wa ramsa katika Kiswahili

ramsa

nominoPlural ramsa

  • 1

    furaha inayotokana na kusherehekea jambo.

Asili

Kar

Matamshi

ramsa

/ramsa/