Ufafanuzi wa rangi katika Kiswahili

rangi

nominoPlural rangi

 • 1

  utambulisho wa miale ya nuru katika macho inapoingia katika kitu fulani.

  ‘Rangi nyeupe’
  ‘Rangi nyeusi’
  ‘Rangi nyekundu’
  ‘Rangi ya kijani’
  ‘Rangi ya kijivu, n.k.’
  launi

 • 2

  kemikali nyeupe, nyeusi, nyekundu, n.k. inayopakwa juu ya kitu kionekane tofauti na kilivyokuwa mwanzo.

  ‘Paka rangi’

Asili

Kaj/Khd

Matamshi

rangi

/rangi/