Ufafanuzi wa raruka katika Kiswahili

raruka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    chanika kwa kitu, agh. nguo, na kuwa vipandevipande.

    chanika

Matamshi

raruka

/raruka/