Ufafanuzi wa rasharasha katika Kiswahili

rasharasha

nomino

  • 1

    mvua inayonyesha taratibu.

Asili

Kar

Matamshi

rasharasha

/ra∫ara∫a/