Ufafanuzi msingi wa rashia katika Kiswahili

: rashia1rashia2

rashia1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

  • 1

    nyunyizia kwa kutumia mrashi.

Asili

Kar

Matamshi

rashia

/ra∫ija/

Ufafanuzi msingi wa rashia katika Kiswahili

: rashia1rashia2

rashia2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

  • 1

    fanya jambo kijuujuu.

Asili

Kar

Matamshi

rashia

/ra∫ija/