Ufafanuzi wa rasmi katika Kiswahili

rasmi

kivumishi

 • 1

  -enye kufuata kanuni zilizokubaliwa.

  ‘Nguo rasmi’
  ‘Mwaliko rasmi’
  ‘Barua rasmi’
  ‘Lugha rasmi’

Asili

Kar

Matamshi

rasmi

/rasmi/