Ufafanuzi wa ratiba katika Kiswahili

ratiba

nominoPlural ratiba

  • 1

    mpango wa mfululizo wa mambo yanayofanyika au yatakayofanyika katika uendeshaji wa shughuli fulani kulingana na wakati uliopangwa.

Asili

Kar

Matamshi

ratiba

/ratiba/