Ufafanuzi wa ratibu katika Kiswahili

ratibu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    panga na unganisha shughuli za watu mbalimbali kwa njia fulani.

Asili

Kar

Matamshi

ratibu

/ratibu/