Ufafanuzi wa rauka katika Kiswahili

rauka

kitenzi sielekezi

  • 1

    amka alfajiri sana.

    damka, jihimu

Matamshi

rauka

/rawuka/