Ufafanuzi wa raundi katika Kiswahili

raundi

nominoPlural raundi

  • 1

    mzunguko mmoja kamili k.v. katika mchezo wa ngumi au mashindano ya mpira.

  • 2

    matembezi ya daktari ya kutembelea wagonjwa wodini.

  • 3

    mzunguko mmoja wa vinywaji utolewao kwa kila mtu aliyekuwepo.

Asili

Kng

Matamshi

raundi

/rawundi/