Ufafanuzi wa rausi katika Kiswahili

rausi

kitenzi elekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    sawazisha tanga la chombo kwa kulinyoshanyosha baada ya kulikunjua ili liweze kufanya kazi.

    nyoosha, sawazisha

Asili

Kar

Matamshi

rausi

/rawusi/