Ufafanuzi wa rea katika Kiswahili

rea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

  • 1

    pandwa na hasira.

    ghadhibika, kasirika, nuna

Matamshi

rea

/rɛja/