nominoPlural redio
- 1
chombo kinachopokea mawimbi ya sauti k.v. ya mtangazaji, kupitia hewani na kumwezesha mtu mwingine kusikia kinachotangazwa.
mwengoya
nominoPlural redio
- 1
mfumo wa utangazaji kwa kurusha mawimbi ya sauti hewani.
Asili
Kng