Ufafanuzi wa ree katika Kiswahili

ree

nominoPlural ree

  • 1

    karata yenye ng’anda moja; karata yenye thamani kubwa kuliko zote katika mchezo wa wahedisitini.

    dume

Asili

Kre

Matamshi

ree

/rɛ:/