Ufafanuzi wa rehemu katika Kiswahili

rehemu

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa

Kidini
  • 1

    Kidini
    (Mungu) -pa neema; -pa rehema.

  • 2

    Kidini
    ombea rehema kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

rehemu

/rɛhɛmu/