Ufafanuzi wa rejea katika Kiswahili

rejea

kitenzi sielekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha, ~wa

  • 1

    ‘Ukienda leo utarejea lini?’

  • 2

    rudia

  • 3

    angalia kitu k.v. kitabu kwa lengo la kupata taarifa.

Asili

Kar

Matamshi

rejea

/rɛʄɛja/